Colossians 2:2-3

2 aKusudi langu ni watiwe moyo na kuunganishwa katika upendo, ili wapate ule utajiri wa ufahamu mkamilifu, ili waijue siri ya Mungu, yaani, Kristo mwenyewe, 3 bambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.
Copyright information for SwhNEN